Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, April 5, 2016

Mahakama ya ICC yafuta kesi ya Ruto na Sang.soma zaid

Mahakama ya ICC jana imewafutia mashitaka ya
uhalifu dhidi ya binadamu katika vurugu za baada
ya uchaguzi mwaka 2007 Naibu Waziri wa Kenya,
William Ruto na Mwandishi Joshua Sang.
Uamuzi wa kuwafutia mashitaka hayo umefikiwa
na majaji wa mahakama hiyo leo, hata hivyo
uamuzi huo hauzuii Ruto na Sang kushitakiwa
tena siku za baadaye katika mahakama hiyo.
Wawili hao walikuwa wakikabiliwa na mashitaka
ya kuuhusika katika ghasia za baada ya uchaguzi
nchini Kenya mwaka 2007/2008 ambapo zaidi ya
watu 1,000 walipoteza maisha.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top