Mbio za jambazi zaishia sakafuni akijaribu kukimbia.soma zaid
Mtu mmoja anayesadikiwa kuwa jambazi
ameuawa wakati akijaribu kuwakimbia askari
Polisi baada yeye na wenzake sita wakiwemo
wakimbizi wanne toka Burundi kukamatwa
wakiwa na bunduki moja na risasi sitini katika
wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma.chanza radio sterio one
0 comments :
Post a Comment