Ajali imetokea jana usiku Dar likihusisha basi la mwendokasi na daladala.soama zaid.
: Ajali imetokea jana usiku eneo la
Magomeni Mapipa,jijini Dar baada ya basi la
mwendo kasi kugongwa na daladala kwenye
barabara ya Morogoro, madereva wa mabasi
hayo wamekuwa wakifanya mazoezi kwenye
barabara hizo kabla ya kuanza kwa mradi huo
kubeba abiria.
0 comments :
Post a Comment