Aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Dar wilson kabwe afariki dunia akiwa matibabu nchini india
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini
India alikokuwa kwa matibabu.
Aidha, inasemekana tangu siku ile
wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni
(Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana
alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.chanzo jamii forums
0 comments :
Post a Comment