Kampuni zaidi ya12 zimekwepa kodi ya sh.billion 1 huko ngorongoro.soma zaid
Wakati serikali ikisiitiza umuhimu wa kulipa kodi,
kampuni zaidi ya 12 zinazomilikiwa na
wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wilayani
Ngorongoro zimeisababishia serikali hasara ya
zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na
kukwepa kodi.
Wakizungumzia suala hilo viongozi wa
halmashauri hiyo wamesema zoezi la kuzifungia
kampuni hizo na kuwafikisha wamiliki wake
mahakamani linatarajiwa kuanza wakati wowote
kuanzia sasa.
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo na mjumbe wa
kamati ya fedha wamesema kiwango cha
0 comments :
Post a Comment