Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, May 15, 2016

Maneno haya ya Louis van gaal yanaashiria bado anaipenda manchester united.soma zaid.


Mkufunzi wa kilabu ya Manchester City Louis
van Gaal ana matumaini ya kusalia katika kilabu
hiyo msimu ujao.
Raia huyo wa Uholanzi hajapewa thibitisho lolote
kuhusu hatma yake lakini ana matumaini ya
kuendelea kuhudumu kwa mwaka wa mwisho wa
kandarasi yake ya miaka mitatu aliyotia saini
mwaka 2014.
Alisema:Nimesema nitakuwa hapa,hayo ni maoni
yangu kwa hivyo ni bodi kuamua iwapo nitasalia
au la.
Van Gaal amekuwa na shinikizo kali tangu mwezi
Disemba na aliyekuwa mkufunzi wa Chelsea Jose
Mourinho anaaminika kufanya mazungumzo na
maafisa wa Manchester United.
United ambao walitangaza matokeo ya kifedha
ya robo mwaka na ambao wanatarajia kupitisha
mapato ya pauni 500 mwaka huu,wanajua
kwamba hawatashiriki katika kombe la vilabu
bingwa Ulaya kwa mara ya pili katika kipindi cha
misimu mitatu iwapo Manchester City itazuia
kushindwa katika mechi yao ya mwisho dhidi ya
Swansea siku ya Jumapili.chanzo bbc.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top