Rais Uhuru kenyatta amezuru kasikazini magharibi mwa kenya.soma zaid.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, hapo jana ameanza
ziara katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa
nchi hiyo, sehemu ambayo katika siku za hivi
karibuni, imekumbwa na visa vingi vya ugaidi,
hususan kutokana na kundi la Al Shabaab.
Kwa miongo mingi, wakaazi wa eneo hilo
wamekuwa wakilalamika kwamba serikali
haiwafikirii kwenye ajenda zake za maendeleo.
BMJ Muriithi anayo taarifa kamili.
0 comments :
Post a Comment