Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, May 19, 2016

Maafisa mifugo watatu wasimamishwa kazi wilayani mpwapwa mkoani Dodoma .soma zaid.

Baraza la madiwani la Halmashauri ya
Mpwapwa limetoa azimio la kuwasimamisha kazi
maofisa mifugo watatu wa wilaya hiyo kwa
tuhuma za kuendesha chanjo ya mifugo pasipo
kufuata taratibu huku wakitumia vitabu feki vya
stakabadhi za malipo ya fedha walizokuwa
wakiwatoza wafugaji wakijuwa wazi kuwa vitendo
hivyo ni kukiuka sheria za kazi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top