Tani 650 za sukari zikiwa zimefichwa zimekamatwa mkoan morogoro.soma zaid.
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro
likishirikiana na Mkuu wa mkoa wa
Morogoro na maafisa TAKUKURU
wamefanikiwa kukamata tani 650 za
sukari zikiwa zimefichwa na
Mfanyabiashara Zacharia kwenye Godown
ya Railway na nyingine akiwa amezihifadhi
huko Kilombero.
Mkuu wa Mkoa amemuagiza RPC wa
Morogoro kuhakikisha mkondo wa sheria
unachukua nafasi yake kwa
mfanyabiashara huyo.
Chanzo: Planet FM-radio (Morogoro)
0 comments :
Post a Comment