Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 20, 2016

Basi la NBS limepata ajali na kuuwa watu 4 na 10 kujeruhiwa.soma zaid.

Basi la kampuni ya NBS lililokuwa
likisafiri kutokea Dar es salaam kwenda Tabora
limepata ajali eneo la Gairo, huku taarifa
zikisema watu 4 wamefariki na 10 kujeruhiwa.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top