Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 30, 2016

Mlipuko wa bomu umeua watu 18 inchini simalia.soma zaid.

Habari kutoka Somalia zinasema kuwa watu 18
wameuawa baada ya bomu kulipuka na kuharibu
kabisa basi walimokuwa wakisafiria katika mji
mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Bomu lililokuwa limetegwa kando ya barabara
lililipua gari lililokuwa limewabeba abiria. Wote
waliouawa walikuwa raia.
Mashambulizi hayo yalitokea katika mji wa karibu
wa Lafole.
Inadhaniwa kuwa washambuliaji hao walikuwa
wakilenga gari la wanajeshi lililokuwa karibu.
Mara kwa mara wapiganaji wa Al Shaabab
hulenga wanajeshi wa Serikali.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top