Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 30, 2016

Mbunge wa ubungo saed kubenea simamishwa kuhudhuria vikao 11 vya bunge.soma zaid.

Bunge limemsimamisha mbunge wa
Ubungo mhe.Said kubenea kutohudhuria vikao
vitano vya bunge 11 kutokana na kushindwa
kuthibitisha kauli alizotoa bungeni kuwa kampuni
ya ujenzi imeingia mkataba wa kujenga nyumba
za jeshi pamoja na nyumba moja ya waziri wa
ulinzi na jeshi la kujenga taifa ,mhe Dkt Hussein
Mwinyi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top