Mubunge joshua Nasari àpandishwa
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha
limewafikisha mahakamani Mbunge wa Arumeru
Mashariki Joshua Nasari pamoja na madiwani
wanne kuunganishwa na madiwani 24
waliofikishwa mahakamani wiki iliyopita
wakituhumiwa kwa kosa moja la kuingia na
kuharibu mali.
0 comments :
Post a Comment