Popo waharibifu waleta kizazaa wilayani kilombero.
Wananchi wa kitongoji cha Magoha
wilayani Kilombero wamelalamikia serikari
kushindwa kuwaondoa Popo waharibifu
wanaowavamia kila mwaka na kusababisha
uharibifu katika minazi na mimea mbalimbali na
kuwasababishia njaa.
0 comments :
Post a Comment