Mwenyekiti wa mtaa igogo mwanza ahukumiwa kwenda jela miezi sita.soma zaid.
Mwenyekiti wa mtaa wa Bugando Kata ya Igogo
wilayani Nyamagana jijini Mwanza Juma Masanja
amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa
kosa la matumizi mabaya ya madaraka.
Masanja amekutwa na hatia ya kumtishia mkazi
wa mtaa wake Consolata George hali iliyoleta
taharuki na wasiwasi kwa familia ya mkazi huyo.
Katika jukumu la kuwatumikia wananchi, viongozi
wa serikali za mitaa wametakiwa kuzingatia
utawala bora na maadili ya uongozi.chanzo star tv
0 comments :
Post a Comment