Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, June 14, 2016

Rais wa ufaransa amesema maneno haya dhidi ya shambulio la kigaid.soma zaid.

Rais wa Ufaransa, Francois Hollande amesema
shambulizi la mauaji ya askari polisi na mpenzi
wake ni kitendo cha kigaidi na ameonya kuwa
Ufaransa bado inakabiliwa na kitisho kikubwa cha
mashambulizi yanayofanywa na watu wenye
itikadi kali.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top