Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, June 14, 2016

Jenera ulimwengu amrushia kombora jakaya kikwete.soma zaid.


Jenerali Ulimwengu amrushia kombora JK, Ukapa
mtetea.
[ nashindwa kuelewa akili za wana ccm
zinafanyaje kazi yaani mtu anasababishia hasara
taifa kwa kuitisha mchakato feki wa katiba
mpaya alafu mnateteana na kusema tufanye
mjadala wa kitaifa kuchuguza nani
aliyesababusha !!!!!!! kweli? ] Hata aibu hamna.
Akizungumza katika tamasha la Nane la Kigoda
cha Mwalimu Nyerere leo Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Ulimwengu amesema fedha nyingi
zimepotea wakati wa kuunda Katiba Mpya
ambayo haikupatikana.
By Mwandishi wetu, Mwananchi Digital
Dar es Salaam. Mwanaharakati Jenerali
Ulimwengu amesema Rais Mstaafu, Jakaya
Kikwete anapaswa kushtakiwa kama viongozi
wengine walioisababishia hasara Serikali.
Akizungumza katika tamasha la Nane la Kigoda
cha Mwalimu Nyerere leo Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Ulimwengu amesema fedha nyingi
zimepotea wakati wa kuunda Katiba Mpya
ambayo haikupatikana.
Hata hivyo, Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo,
amesema badala ya kumlaumu mtu mmoja
mmoja, mjadala mpana wa kitaifa unahitajika
kujua kilichosababisha Taifa kukosa Katiba Mpya.
“Hakuna anayeandika ni wapi tulipokwama,
tunalaumu na kumjadili mtu. Wengine wanasema
katiba imekwamishwa na watu wachache…
tunapaswa kuwa na mjadala wa kina kujua ni
wapi tulipokwama,” amesema Mkapa.
Akiwasilisha mada, Mkapa amesema si kwamba
Mwalimu Nyerere hakupenda kampuni binafsi zije
kuwekeza nchini bali alipenda biashara na
uwekezaji ufanyike kwa haki, usawa na
kuchangia maendeleo ya nchi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top