Niki wa pili anafikiria kutoa album mpya.soma zaid.
Akiongea na kipindi cha Super Mega cha Kings
FM ya Njombe, kinachoendeshwa na Divine
Kweka, Nick alisema hadi sasa ana nyimbo za
kuweza kutosha hata album tatu.
“I am thinking inabidi nitoe tu kwaajili ya mafan,
unajua mtu akisikiliza album yako anakuelewa
huyu ni nani, anafikiria nini. Kwahiyo inshallah
labda mwisho wa mwaka ninaweza nikatoa
album,” alisema.
Hivi karibuni Nick aliachia single yake Role Model
aliyomshirikisha Chin Bees.
Msikilize hapo chini.
0 comments :
Post a Comment