Home
Unlabelled
Sherehe ya kula mbwa nchini china imeanza kusini mwa taifa hilo.soma zaid.
Sherehe ya kula mbwa nchini china imeanza kusini mwa taifa hilo.soma zaid.
Sherehe ya kila mwaka ya kula mbwa imeanza kusini mwa taifa la China licha ya pinganizi kutoka katika taifa hilo na ugenini
Takriban mbwa 10,000 na paka wanatarajiwa kuuawa na kuliwa wakati wa sherehe hiyo ya siku kumi inayofanyika Yulin.
Wanaharakati wanasema kuwa hafla hiyo ina ukatili huku wale wanaotaka sherehe hiyo kupigwa marufuku wakiandikisha saini milioni 11.
0 comments :
Post a Comment