Ukifanya kazi kwa bidii na ufanisi huna budi ya kulipwa mshahara mkubwa.soma zaid.
Mchezaji Cristiano Ronaldo amerithi
nafasi ya mwanamasumbwi Floyd Mayweather
na kuwa mwanamichezo anayeongoza kwa
kulipwa zaidi duniani, huku nafasi ya pili ikienda
kwa mchezaji bora wa dunia, Lionel Messi.
0 comments :
Post a Comment