Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 6, 2016

Ukusanyaji wa mapato tanzania waendelea kupaa kwa kasi na kuleta matumaini.soma zaid.

Moshi. Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA),
imefanikiwa kufikia malengo yake
kwa kukusanya Sh1.032 trilioni kwa kipindi cha
Mei, ikiwa
ni sawa na asalimia 100.7.
Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata
amesema hayo leo wakati akizungumza na
waandishi wa habari mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro.
Alisema lengo ni kukusanya kiwango
walichopangiwa na serikali katika kipindi cha
mwaka 2015/2016.
Alisema lengo lao kwa mwezi huo ni kukusanya
Sh 1.025 trilioni huku
kwa kipindi cha kuanzia Julai 2015 hadi Mei 2016
walikusanya Sh 11.956 trilioni.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top