Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, June 25, 2016

Watu 20 wamefariki dua kwa mafuriko marekani.soma zaid.

Zaidi ya watu 20 wamefariki kutokana na
mafuriko makubwa yaliyokumba jimbo la
magharibi la Virginia.
Gavana wa jimbo hilo amesema mafuriko hayo
yamesababisha hasara kubwa huku majumba
karibu elfu 60 yakikatiziwa umeme.
Imebidi baadhi ya watu kuokolewa ,kutoka
mapaa ya majumba walikotorokea mafuriko hayo.
Kinaya ni kuwa upande mwengine wa nchi hiyo
hasa katika jimbo la California hali ya kiangazi na
joto jingi imesababisha mioto .
Katika eneo hilo watu wawili wamefariki huku
wengine mamia wakilazimika kuyahama makaazi
yao.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top