Waziri mkuu wa uingereza Ametangaza kujiuzuru baada ya.soma zaid.
Baada ya raia wa Uingereza na viunga
vyake kuchagua kujiondoka kutoka umoja
wa ulaya sasa waziri mkuu wao ametoa
hatuba na kutangaza rasmi nia yake ya
kuachia ngazi katika serikali
Amesema sasa Uingereza inahitaji
uongozi mpya. Na sasa itachukua miezi
mitatu kuaandaa serikali ijayo.
0 comments :
Post a Comment