Home
Unlabelled
Jaji mutungu amewataka wanasiasa kutoitafisiri vibaya hutuba ya Rais.soma zaid.
Jaji mutungu amewataka wanasiasa kutoitafisiri vibaya hutuba ya Rais.soma zaid.
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi amewataka wanasiasa kutoitafisri vibaya hotuba ya Rais kwamba amepiga marufuku shuguli za kisiasa na badala yake watambue kuwa alichosema Rais ni kwamba amefungua milango ya mashirikiano na wanasiasa katika kuendeleza Taifa kwa kufanya kazi na siyo muda wote kuhubiri siasa
Amesema kuwa wanasiasa wasipotoshe wito wa Rais kisiasa kwa kudai kuwaRais amefuta harakati za siasa nchini.
amesema wito wa Rais ni kuwakaribisha wanasiasa katika maswala ya maendeleo na sio siasa zisizo na tija.
source:ITV
0 comments :
Post a Comment