January 21, 2025
Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, July 27, 2016

Jaji mkuu Mohammed chande ametembelea mahakama mkuu Division ya Rushwa na Uhujumi Uchumi.soma zaid.

Hili ni jengo litakalotumika kuanzisha
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na
Uhujumu Uchumi lililopo kwenye Shule ya
Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania
Mheshimiwa Mohamed Chande Othman
(Katikati) akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama
ya Tanzania, Khamadi Kitunzi akimuelezea
jambo alipotembelea jengo litakalotumika
kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa
na Uhujumu Uchumi lililoko kwenye Shule ya
Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es salaam.
Kulia ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu
Mheshimiwa Ferdinand Wambali.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania
Mheshimiwa Mohamed Chande Othman
(Katikati) akimuelezea jambo Mtendaji Mkuu wa
Mahakama ya Tanzania, Hussein Kattanga
alipotembelea jengo litakalotumika kuanzisha
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na
Uhujumu Uchumi lililoko kwenye Shule ya Sheria
(Law School) Sinza jijini Dar es salaam.
Kushoto ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu
Mheshimiwa Ferdinand Wambali.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top