Mama Cristiano Ronaldo afunguka haya.soma zaid.
Mama Cristiano Ronaldo, Dolores Aveiro, amemjia
juu mchezaji wa Ufaransa Dimitri Payet kufuatia
rafu mbaya aliyomchezea mwanae wakati wa
mchezo wa fainali za # EURO2016 usiku wa
kuamkia leo akisema alifanya makusudi
kumuumiza mwanae katika mchezo huo.
0 comments :
Post a Comment