Mkazi mmoja wa kigoma amehukumiwa miaka 33 kwa ubakaji.soma zaid
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma
imemhukumu, Abdallah Charles, kifungo cha
miaka 33 jela na fidia ya Sh. 800,000 kwa
makosa mawili ya kubaka na kumpa mimba
msichana wa kidato cha pili mwenye umri wa
miaka 16.
0 comments :
Post a Comment