Mlalamikaji ametakiwa kulipa sh.60ml kwa kudhindwa kesi.soma zai.
July 28 2016, Mahakama kuu kanda ya Tanga
ilitangaza maamuzi rasmi ya kesi ya kupinga
matokeo ya Ubunge iliyokuwa ikimkabili Mbunge
wa Pangani Jumaa Aweso wa Chama cha
mapinduzi (CCM) iliyofunguliwa na mbunge wa
chama cha wananchi(CUF) Amina Mwidau
Ayo TV imefanya exclusive interview na Mbunge
Jumaa Aweso ambaye anatueleza hatua
atayochukua baada ya kushinda keshi hiyo ikiwa
ni pamoja na kulipwa milioni 60 kama gharama
za usumbufu.
‘ Uchaguzi kuna kushinda na kushindwa, baada ya
kushinda mpinzania wangu hakuridhika na
matokeo na akasema kwamba wafuasi wangu
walimkejeli kwa kumuita Bi. kidude lakini pia yeye
ni mwanamke asiyefaa kauli ambazo hazikutolewa ‘
–Jumaa Aweso
‘ Mahakama kuu ya Tanga ikatoa taarifa kwamba
hakukuwa na uthibitisho wowote wa kimsingi na
kunitangaza mimi kuwa mbunge halali wa jimbo la
Pangani‘ –Jumaa Aweso
Kiasi gani cha gharama amepoteza tangu kesi
hiyo imeanza kusikilizwa mahakamani? Jumaa
Aweso amefunguka…>>>’ Kesi hii imedumu kwa
takribani miezi tisa na imegharimu takribani milioni
60 na nilazima azilipe zikasaidie kutatua matatizo
ya Pangani ‘
0 comments :
Post a Comment