Breaking News
Loading...

Advert

Friday, July 29, 2016

Wazir mkuu akiwa na spika wa Bunge Jobu Ndugai baada ya kwenda kumsalimia nyumbani kwake Dar.soma zaid

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Spika wa Bunge , Job
Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa
Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai
29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea
nchini hivi karibuni akitoka India kwa
matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Spika wa Bunge , Job
Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa
Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai
29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea
nchini hivi karibuni akitoka India kwa
matibabu. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama. (Picha
na Ofisi ya Bunge).

0 comments :

Post a Comment

Back To Top