Breaking News
Loading...

Advert

Friday, July 29, 2016

Wabunge Peter Lijua kali na Suzani kiwanga wote ni CHADEMA wameshinda kesi zao za uchaguzi leo.soma zaid.

Mbunge wa Jimbo la Kilombero Peter
Lijualikali (CHADEMA)
UPDATES;
1. Mh. PETER AMBROS LIJUALIKALI
ametangazwa kuwa Mbunge halali wa
Ifakara mjini.
SABABU ZA USHINDI;
Mashahidi Kujichanganya.
Kutopeleka Malalamiko Kamati ya
Maadili.
2. Mbunge wa jimbo la Mlimba kupitia
CHADEMA Suzan Kiwanga, ameshinda
kesi ya uchaguzi katika Mahakama Kuu ya
Mkoa wa Morogoro.
Katika Uchaguzi mkuu wa 2015 Jimbo la
Mlimba, Suzan Kiwanga alishinda kwa
kupata kura 40,068 dhidi ya Mpinzani
wake wa karibu Godwin Kunambi wa CCM
aliyepata kura 34,883.
Jimbo la Kilombero Peter Lijualikali wa
CHADEMA alishinda kiti cha ubunge kwa
kupata kura 62,158 wakati mpinzani wake
wa karibu, Abubakar Assenga wa CCM
alipata kura 44,092.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top