Wazir mkuu amekagua maabara na madarasa yaliyoungua shule ya sekondari Lindi.soma zaid
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua maabara na madarasa
yaliyoungua kwa moto katika shule ya
sekondari ya Lindi akiwa katika ziara
ya Mkoa huo Julai 14, 2016 Kushoto
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,
Godfrey Zambi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments :
Post a Comment