Yajue maamzi ya UNHCR kwa wanyarwanda wakimbizi.soma zaid.
Shirika la wakimbizi duniani UNHCR halitoendelea
kutoa misaada kwa Wanyarwanda ambao bado ni
wakimbizi,na ifikapo mwakani shirika hilo
litawanyang’anya hati ya ukimbizi raia hao wa
Rwanda waishio nje kama wakimbizi.
Akizungumza na ITV, Mkurugenzi kutoka Wizara
ya majanga na wakimbizi nchini Rwanda
Bw.Jean Claude Rwahama,amewaomba
Wanyarwanda wote waishio nje kama wakimbizi
kurudi nchini mwao kabla kipindi hicho
hakijawadia.
0 comments :
Post a Comment