Baada ya kuwasili Dar akitokea mwanza Rais ameongea sentesi hizi.soma zaid
August 12 .2016 Rais wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli alipokelewa katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Dar
es salaam akitoke mkoani Mwanza katika ziara
yake akiwa kama mwenyekiti wa Chama Cha
Mapunduzi (CCM) kisha baadae kwenda
kuhutubia katika ofisi ndogo za chama Lumumba
'Niseme ukweli kabisa kwamba chama chetu
kilianza kupoteza dira, mimi mwenyewe
niliyaona'
'Hata uwe kigogo wa namna gani, kwangu
usipokuwa mtii utaondokatu,
'Ndugu zangu msiwe na hofu kuhusu kuwa
na watoto, nyie fyatueni watoto wa kutosha
maana watasoma bure'
'Wapo watu walikuwa wanasafiri kwenda
Ulaya kama vile wanakwenda Manzese,
nikapiga marufuku safari zote'
'Mnakamata mama lishe anafanya kabiashara
kake mgambo mnawakamata, sitaki kuona
tena hali hii katika
'Hii ndio Tanzania ninayoitaka, tajiri na
masikini wawe sawa katika haki'
'Kinachohitajika Tanzania ni kuwa na maisha
bora, tuilinde amani yetu kwakuwa palipo na
amani pana mafanikio pia'
'Wapo watu hawataki kuona vijana wa
kitanzania wanaishi maisha mazuri, kazi yao
ni kuwapa viroba
'Najua hata ndani ya CCM kulikuwa na
mafisadi, hilo nalifahamu vizuri na yapo
mengine yakakimbia, ntayashughulikia'
'Makao makuu ya Tanzania yapo Dodoma,
lazima tuhamie kule na hata machinga
mnakaribishwa' .chanzo millard ayo
0 comments :
Post a Comment