Habar ya hivi punde #Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema amekamatwa na police.soma zaid
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa
Askari Polisi walivamia nyumbani kwa
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh
Godbless Lema alfajiri ya leo na
kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana
bado....
Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri.chanzo jamii forums
0 comments :
Post a Comment