Idrisa akasirishwa na baadhi ya mashabiki wanaofuatilia maisha yake.soma zaid
Kumekuwa na misemo kibao na habari
zilizosambaa hivi karibuni kupitia vyombo
mbalimbali vya habari na hata mitandao ya
kijamii ikishutumu kuwa Wema Sepetu na Idris
Sultan wamezinguana tena na hivyo kuzua
timbwili zito baina yao.
Wawili hao wamekuwa wakioneshana wivu
kupitia kurasa zao za Instagram kwa kuonesha
kwamba kwa mara nyingine hakuna mahusiano
mazuri dhidi yao kutrokana na kazi
wanazozifanya kila siku.
Kisa na Mkasa kilianzabaada ya Wema kuisusa
show ya Idris “Funny Fellas” kwa mara nyingine
tena huku mshindi huyo wa Big Brother
akihudhuria show zote na hii ikiwa si mara ya
kwanza kwani katika show ya Black and Tie
iliyofanyika mwezi uliopita hakuhudhuria
vilevile.
Baada ya kushindwa kuvumilia tabia hiyo Idris
nae aliamua kususia show iliyokuwa
imeandaliwa na Wema Sepetu ya Usiku wa
vigoma mwishoni mwa wiki na hivyo kuzua
tafrani baina yao na hata kwa mashabiki zao.
Mashabiki Wa sepetu wamekuwa wakimrushia
maneno makali sana Idris katika ukurasa wake
wa Instagram, na baada ya kuandamwa sana
Idris amelazimika kutoa ya moyoni,
“sipendi kuona watu wakiingia na kuongea kama
wanajua maisha yangu na watu wangu wa karibu ,
makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu
mnaanza ‘ndio nisingefanya vile kama sio wewe
kufanya hivi’ mnakazana kusema eti naposti
wanawake mara oooh porojo kibao. Sina freedom
ya kumpost dada yangu? Kweli? Au rafiki yangu
kazindua brand mpya siwezi mpost nikampongeza?
Mnauliza kwanini sijaenda vigoma nimesema
because show yangu hakuja hata moja na
nimeenda show zake na yeye halalamiki because
anajua nimesema siendi fair enough mbona
hamjaongelea reason that it`s not anyone
business this is my personal life kama mnaongelea
fair basi mngefanyya kuuliza kwanini mpaka am
selling out hajaja
Give me break sina maisha ya kuigiza lets have
respect for each other bana, na nimesema msiniite
shemeji for one big reason , imekuwa too much im
a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua
this from the beginning nisingeruhusu mniite
tangu mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria
negative tu. Na sikuwa na haja ya kuandika yote
haya pia Tusichukuliane poa.”
Sipendi kuona watu wakiingia na kuongea
kama wanajua maisha yangu na watu wangu
wa karibu, makosa wakifanya wengine
mnakuja kwangu mnaanza “Ndio
asingefanya vile kama sio wewe kufanya
hivi” mnakazana kusema eti naposti
wanawake mara ooo porojo kibao. Sina
freedom ya kumpost dada angu ? Kweli ? Au
rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi
mpost nikampongeza ? Mnauliza kwanini
sijaenda vigoma nimesema because show
yangu hakuja hata moja na nimeenda show
zake zote na yeye halalamiki because
anajua nimesema siendi fair enough mbona
hamjaongelea hilo ? I repeat nikikaa kimya
is for a pure reason that its not anyones
business this is my personal life kama
mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza
kwanini mpaka am selling out hajaja. Give
me a break sina maisha ya kuigiza lets have
respect for each other bana. Na nimesema
msiniite shemeji for one big good reason,
imekua too much i am a brand na jina idris
linamezwa na shem, ningejua this from the
beginning nisingeruhusu mniite tangu
mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria
negative tu. Na sikua na haja ya kuandika
yote haya pia ️ #
TusichukulianePoa
A photo posted by Idris Sultan (@idrissultan)
on Aug 15, 2016 at 10:50pm PDT
Awali jana jumatatu Wema Sepetu alipost picha
ya wanaume katika akaunti yake ya Instagram
na kuandika #MCM (Man Crush Monday) na
kuwataja Ali Kiba, Korede Bello, Diamond
Platinumz, Cyrill, Trey Songz, Van Vicker, Jamal
na wengineo.
0 comments :
Post a Comment