Prof.Ndalichako amegundua mapungufu katika cas/noas kwa waombaji wenye stashahada.soma zaid
Kwanza niwashukuru kwa kufungua
udahili maana mlituweka roho juu wana
wa wenzenu.
Napenda kutoa taarifa ya kuwepo
mapungufu kadhaa katika cas/noas kwa
waombaji wenye stashahada.
1. Baadhi ya Kozi zilizopo kwenye
Guidebook hazipo sehemu ya machaguo
ya Kozi kwenye mfumo. Mfano; Bachelor
Degree of Education with Mathematics
and Information Technology ya National
Institute of Transport.
2. Jina la Kozi kukosewa. Mfano;
Bachelor of Arts with Education
(Mathematics & IT) kwenye mfumo na
Bachelor of Science with Education
(Mathematics & IT) kwenye guidebook -
Ruaha University.
3. Ukichagua kozi yanakuja maelezo ya
kozi nyingine tofauti.
Labda pia kuna matatizo mengine,
muyaangalie. Maana Deadline imekuwa
karibu sana. Watu wa Diploma wamepewa
wiki mbili huku F6 wakipewa miezi miwili.
Pia Simu zenu hazipatikani na email basi
mzijibu wapendwa ili tupunguze
malalamiko humu.
0 comments :
Post a Comment