Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, August 16, 2016

Katibu wa baraza la wazee wa Yanga Ibrahimu akilimali amesimamishwa uanachama.soma zaid


Umoja wa matawi ya Yanga umemsimamisha
uanachama wa klabu hiyo Katibu wa baraza la
wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali kwa kosa la
kumdhalilisha mwenyekiti wa klabu hiyo Yussuf
Manji.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top