Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, August 11, 2016

Milipuko miwili ya mabomu yameua na mkujeruhi katika mgahawa nchini Thailand.soma zaid

Mwanamke mmoja ameuawa na wengine zaidi
ya kumi wamejeruhiwa nchini Thailand baada
ya mabomu mawili kulipuka katika mgahawa
maarufu wa Hua Hin unaopendelewa na Mfalme
Bhumibol Adulyaj.
Mwanamke aliyeuwawa ni raia kutoka Thailand
lakini kwa upande wa majeruhi wanahisiwa
kuwa raia wa kigeni.
Mkuu wa polisi Samer Yousamran, amesema
majeruhi wanatibiwa hospitalini.
Kwa mujibu wa Polisi, mabomu hayo yalikuwa
yamefichwa kwenye sufuria na kulipuliwa na
simu.
Hadisasa haijajulikana ipi haswa nia ya
waliohusika kulipua mabomu hayo.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top