Polisi 80 wanatumwa kwenda kuongeza nguvu huko vikindu.soma zaid
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya
Dar es Salaam Simon Sirro amesema polisi zaidi
ya 80 wanatumwa kwenda kuongeza nguvu
katika oparasheni inayoendelea huko Vikindu
mkoani Pwani ambapo hadi sasa watu kadhaa
wameuawa na wengine kukamatwa.
0 comments :
Post a Comment