Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, August 25, 2016

TEA kufadhili ujenzi wa nyumba za walimu katika maeneo yasiofikika kirahisi.soma zaid

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu
Tanzania Joel Laurent (wa kwanza
kushoto) akijadiliana suala na viongozi
wa Halmashauri ya Kilosa, Mamlaka ya
Elimu Tanzania inatarajia kutekeleza na
kufadhili mradi wa kujenga nyumba za
walimu kupitia Watumishi Housing Ltd
katika Ujenzi katika maeneo yasio rahisi
kufikika, katika shule ya Sekondari
Uleling'ombe iliyopo Wilaya ya Kilosa.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu
Tanzania,Joel Laurent akiongea na
viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Kilosa, kamati ya shule ya
Uleling'ombe,uongozi wa kijiji cha
Uleling'ombe wakijadilana utekelezaji wa
Mradi wa kujenga nyumba za walimu
katika maeneo yasio rahisi kufikika,

0 comments :

Post a Comment

Back To Top