Wazir wa Nishati Sospeter mhongo ametoa utaratibu wa kugawa madini aina ya magwangala.soma zaid
Waziri na Nishati na Madini Prof.Sospeter
Muhongo amewaambia wananchi
wanaoishi kandokando ya mgodi wa Geita
kuwa na subira ya kupewa utaratibu wa
kugawiwa "magwangala" kama
ilivyoagizwa na Mh.Rais,kwani
kuharakisha kuyang'ang'ania
"magwangala" hayo ni kuhatarisha afya
yao na ile ya kizazi kijacho.
Pichani Mh.Waziri akiwa na viongozi wa
Halmashauri ya Geita,wakikagua eneo la
kumwagwa magwangala ambalo lipo
karibu na mashamba na makazi ya watu
huko Geita.
0 comments :
Post a Comment