Breaking News
Loading...

Advert

Friday, October 7, 2016

Baraza ka michezo Tanzania( BMT) limemuvimbia kifua Yusuph Manji.soma zaid

Baraza la michezo Tanzania (BMT)
limetangaza kutotambua ukodishwaji wa
klabu ya Yanga kwa kuwa ni kinyume na
katiba ya klabu hiyo.
Katibu mkuu wa BMT, Mohammed Kiganja
amesema kuwa mkataba huo kati ya
Baraza la Wadhamini wa Yanga na
kampuni iliyoikodi klabu hiyo, haukufuata
taratibu.
"Ili Yanga iweze kubadili jina na kuitwa
Yanga Yetu ni lazima ipite kwa msajili.
Wao hawajaenda kwa msajili wanaanza
kutangaza jina jipya. Huko ni kupinga
katiba," alisema Kiganja.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top