Breaking News
Loading...

Advert

Monday, October 31, 2016

Bondia Thomas Mashali amekutwa amefariki.soma zaid


Thomas Mashali amekutwa amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo na mwili
wake kukutwa maeneo ya Kimara, Jijini
Dar es salaam. akithibitisha kutokea kwa
kifo cha mwanamasumbwi huyo, Bondia
Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amesema
Mashali amefikwa na umauti huo usiku wa
kumkia leo kwa kudaiwa kupigwa mpaka
kuuawa na watu wasiojulikana kwa
tuhuma za wizi. tutaendelea kujuzana
taarifa zaidi za msiba huu wa
Mwanamasumbwi huyu nguli hapa nchini,

0 comments :

Post a Comment

Back To Top