Walimu waliohusika kumpiga mwanafunzi wa shule ya kutwa mbeya wafukuzwa chuo.soma zaid
Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza
chuo walimu waliohusika na kumpiga
mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule
ya kutwa Mbeya.
Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya
walimu wamefikishwa katika kituo cha
polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio
hilo.
Chanzo: TBC, habari za mikoani
Kuhusu kosa la walimu hao, soma
MBEYA: Walimu warekodiwa wakimfanyia
unyama Mwanafunzi
0 comments :
Post a Comment