Mwalimu mkuu wa shule ya kutwa mbeya day amesimamishwa kazi.soma zaid
Mwalimu mkuu wa shule ya kutwa mbeya day amesimamiswa kazi hiyo ni baada ya tukio la kupigwa vibaya na kuteswa kwa mwanafunzi wa shulen hapo na walimu waliokuwa katika mafunzo ya vitendo wakitokea vyuo vikuu hata hivo baada ya tukio hilo mwalimu mkuu wa shule hiyo alishikiliwa na polisi kwa mahojiono zaidi.pia walimu waliohusika na kitendo cha kumpiga mwanafunzi wamefukuzwa chuo.chanzo bbc swahili
0 comments :
Post a Comment