Breaking News
Loading...

Advert

Monday, October 31, 2016

Watumishi watano waliostaafu halimashauli ya songwe kuhojiwa kwa upotevu wa sh.410.soma zaid

Watumishi watano wa Halmashauri ya
Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe waliohamishwa
na wengine kustaafu wanatakiwa kurejeshwa ili
kutoa maelezo ya matumizi ya Sh410 milioni
zilizopotea katika mazingira tata.
Vigogo wanaotakiwa kurudi Mbozi baada ya
kuhamishwa 2012/13 ni waliokuwa wakishikilia
nyadhifa za mkurugenzi mtendaji, mweka hazina,
ofisa elimu sekondari, ofisa mipango na mganga
mkuu wa wilaya.
Taarifa hiyo, ipo kwenye mapendekezo ya tume
iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Luteni
Mstaafu Chiku Galawa kuchunguza upotevu wa
fedha hizo.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top