Breaking News
Loading...

Advert

Monday, October 31, 2016

Wakenya waomba msaada kwa Dkt Magufuli.soma zaid


Wakenya waomba msaada kwa Dkt Magufuli
Rais Dkt John Magufuli yupo nchini Kenya kwa
ziara ya siku mbili kufuatia mualiko wa Rais wa
nchi hiyo, Uhuru Kenyatta.
Ziara hiyo yenye lengo la kuimarisha uhusiano
wa kisiasa na kibiashara baina ya Kenya na
Tanzania imeleta mjadala mkubwa kwenye
mitandao ya kijamii hasa kwa Wakenya.
Katika mjadala huo, wengi wameonyesha hisia
zao hasa katika kuchukizwa na tatizo la rushwa
nchini mwao hivyo kuomba msaada kwa Rais
Maguli kiwasaidia namna ya kuondokana nalo.
Wamekuwa wakitoa mawazo yao na kuomba
msaada wa kumpa Rais wao mbinu za
kupambana na rushwa huku wakitumia neno #
MagufuliInKenya.
Wengi wao wanaomba kabla hajaondoka nchini
humo amuachie Rais Uhuru Kenyatta muongozo
yakinifu wa namna ya kupambana na rushwa.
Haya hapa ni baadhi ya maoni ambayo waKenya
wameyatoa:
@musaomri ; #MagufuliInKenya can be consulted
by @UKenyatta on how to handle corrupt
officials in state offices #MinistryofHealthFacts.
@Gilbertich ; Welcome @MagufuliJP To our
beloved country, please advice our beloved heads
of state to stop corruption #MagufuliInKenya
@KiKimathi; KaribuKenya Magufuli. Hoping that
these leaders will take notes on how to fight this
corruption menace #MagufuliInKenya
@kaytrixx ; #MagufuliInKenya He should leave
our gov’t with his marking scheme for fighting
corruption.
@freddy_mckers ; The no nonsense president is
in Kenya, this is great hope he will advice jubilee
government on to deal with corruption #
MagufuliInKenya
Je, Una maoni gani kuhusu waKenya kutaka
wasaidiwe na Rais Dkt Magufuli katika
kupambana na Rushwa.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top