Brazir imeifunga Argentina 3-0.soma zaid
Michezo mitano ya kuwania tiketi ya kufuzu kwa
fainali za kombe la mwaka 2018, imecheza kwa
ukanda wa Marekani Kusini.
Brazil wakicheza katika dimba la Belo Horizonte,
wamewachapa Argentina kwa mabao 3-0, mabao
ya brazili yakifungwa na Philipe Couthino,
Neymer, na Paulinho.
Venezuela wakicheza nyumbani nao wameibuka
na ushindi wa kishindo kwa kuwachapa bolivia
kwa mabao 5-0.
Paraguay wamekubali kichapo nyumbani baada
ya kufungwa mabao 4-1 na Peru,Uruguay
wakashinda kwa mabao 2 - 1 dhidi ya Ecuador
Colombia wakashindwa kuutumia vyema uwanja
wa nyumbani baada ya kutoshana nguvu na Chile
kwa sare ya bila kufungana.
0 comments :
Post a Comment