Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, November 8, 2016

TANZIA.Aliyekuwa mbunge wa Mufindi na Wazir wa tatu Joseph Mungai afariki dunia.soma zaid


awamu ya tatu, Joseph Mungai afariki
dunia
Aliyewahi kuwa Waziri mwandamizi katika
wizara mbalimbali, ikiwemo Wizara ya
Elimu, Ndg.Joseph Mungai, amefariki dunia jioni
ya leo, katika hospitali ya taifa ya Muhimbili
alipokua akipatiwa matibabu. Mungu
ampumzishe kwa amani.!

0 comments :

Post a Comment

Back To Top