Raisi Obama asalimu amri ampongeza Trump kwa ushindi.soma zaid
Obama ampongeza Trump, amwalika White
House
Imepakiwa mnamo 12:27
Rais Obama amempigia simu Donald Trump
kumpongeza kwa ushindi uchaguzi wa urais
ambapo pia amemwalika ikulu ya White House
mnamo Alhamisi wajadiliane kuhusu shughuli ya
mpito.
Obama pia amempigia Hillary Clinton na
kumpongeza kutokana na alivyofanya kampeni.
Rais Obama atatoa taarifa zaidi Jumatano kutoka
White House kujadili matokeo ya uchaguzi na
hatua ambazo tunaweza kuchukua kama taifa
kuungana tena pamoja baada ya kipindi cha
uchaguzi huu uliokuwa na ushindani mkali",
katibu wa ikulu amesema kupitia taarifa.
0 comments :
Post a Comment